Pre GE2025 2025 ni Vita!

Pre GE2025 2025 ni Vita!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
hali si hali ni mbaya kuliko wakati wowote ule, hii itakuwa ni moto mkali, sisi wengine tutatoa tu pole kwa majeruhi, mkataba haubadilishwi kiraihisi, kuna watu hii dunia hawaielewi, wanafikiri kila kitu ni utani, watu watalia vilio vya mbwa mwitu, a deal is a deal …
 
Ziara ya huko Italy?
 
Back
Top Bottom