πππ Atupumzishe tu bando lakwetu na Bado akili tuumize kufumbua alichoandikaMda Wa Kufumbua Mafumbo Naupatia Wapi
Ziara ya huko Italy?hali si hali ni mbaya kuliko wakati wowote ule, hii itakuwa ni moto mkali, sisi wengine tutatoa tu pole kwa majeruhi, mkataba haubadilishwi kiraihisi, kuna watu hii dunia hawaielewi, wanafikiri kila kitu ni utani, watu watalia vilio vya mbwa mwitu, a deal is a deal β¦