Kwa sababu hawataki MidahaloKwa nini ccm huwa hawataki midahalo?
Camera zipi?Tatizo ni kwamba mdahalo unaweza kwenda vizuri kabisa ila Camera zikizimwa tu kuanzia waandishi mpaka hao wagombea wote Roho mkononi.
Hahah dhubutu yako, kwa wabunge hawa ambao bado kugezo ni kujua na kusoma na kuandika? Utapata 2% tu au usipate kabisaWakuu,
Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv.
Kupitia mdahalo huo unaona kabisa huyu anafaa huyu amejaa pumba, na wengine wapo kwaajili ya kujaza nafasi tu.
Hii itasaidia wananchi kufanya maamuzi sahihi na kutodanganyika na doti za kanga au kofia za vyama.
Au nasema uongo chawa na nyuki wa mama?
Kwa nini ccm huwa hawataki midahalo?
Kamwe haitakuja kutokea hili nchini Tanzania. Je, unakumbuka yaliyomkuta Tido Mhando wakati alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBC alipojaribu kufanya midahalo ya namna hiyo kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010?Wakuu,
Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv.
Kupitia mdahalo huo unaona kabisa huyu anafaa huyu amejaa pumba, na wengine wapo kwaajili ya kujaza nafasi tu.
Hii itasaidia wananchi kufanya maamuzi sahihi na kutodanganyika na doti za kanga au kofia za vyama.
Au nasema uongo chawa na nyuki wa mama?
Hivi Unadhani Inawezekana! Kwanini Samia akajikaange mwenyewe.Wakuu,