2025 utashangaa CCM ikisema awamu iliyopita ilikuwa sio ya kuchaguliwa raisi kama sasa wanavo sema raisi kainua nchi

2025 utashangaa CCM ikisema awamu iliyopita ilikuwa sio ya kuchaguliwa raisi kama sasa wanavo sema raisi kainua nchi

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Nimefatilia sana siasa yangu mpaka sasa ila kila siku kupitia ccm tokea kupata uhuru sijajua mpinzani wao ni nani kwenye madaraka yao kila raisi na chama chao wanavojaribu kujivua magamba wakati nyoka ni yule yule.
kabla ajafariki dkt john pombe magufuri, bunge lilikuwa mstari wa mbele kumpa pongezi kwa kupeleka uchumi.
leo yupo samia wanasema mama kawatoa kwenye hali mbaya sasa kawavusha uchumi.

siasa za CCM usishangae mbunge huyo huyo aliyeshika jimbo mda mrefu anajipinga na kujisafisha tena ili mpe tena madaraka.
 
Nchi hii haita endelea Kwa kutegemea Chama chochote cha Siasa kuchukua madalaka Bali kinachotakiwa ni kuweka mifumo Bora ya KISIASA,KIUCHUMI, KIJAMII.
Tunabahati kubwa kuona wenzetu waliochagua vyama mbadala wamefika wapi? Tuangalie Kenya tuangalie Zambia nk. Maisha ni yaleyale afadhali ya Jana.
 
Achaneni na hiki chama jamani issue iwe namna ya kukipiga chini kabisa na kuzuia wizi wao wa KURA!
 
Back
Top Bottom