Nchi hii haita endelea Kwa kutegemea Chama chochote cha Siasa kuchukua madalaka Bali kinachotakiwa ni kuweka mifumo Bora ya KISIASA,KIUCHUMI, KIJAMII.
Tunabahati kubwa kuona wenzetu waliochagua vyama mbadala wamefika wapi? Tuangalie Kenya tuangalie Zambia nk. Maisha ni yaleyale afadhali ya Jana.