Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama.
Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema yeye, haivutii hata kidogo.
Kaniambia kuna hofu ya mabadiliko makubwa ya matokeo na wakubwa wanajipanga vilivyo.
Mmoja ya mipango ni kutoa ajira kwa wahitimu wengi wa vyuo waliopo mitaani. Hata hivyo anaonya hatuwezi kuajiri watu zaidi efu 60 kuanzia sasa hadi October 2025 kwani wahitimu ni zaidi ya laki 4.
Kuna mbinu nyingine kaniambia bado ni mapema kuivujisha.