Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
hofu ya nini tena katika ukuaji, ustawi na kushamiri kwa Demokrasia endelevu 🐒Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama.
Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema yeye, haivutii hata kidogo.
Kaniambia kuna hofu ya mabadiliko makubwa ya matokeo na wakubwa wanajipanga vilivyo.
Mmoja ya mipango ni kutoa ajira kwa wahitimu wengi wa vyuo waliopo mitaani. Hata hivyo anaonya hatuwezi kuajiri watu zaidi efu 60 kuanzia sasa hadi October 2025 kwani wahitimu ni zaidi ya laki 4.
Kuna mbinu nyingine kaniambia bado ni mapema kuivujisha.
Kwani wapiga kura vijana ndio wanaanza mwaka 2025? Miaka mingine hawakuwepo?Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama.
Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema yeye, haivutii hata kidogo.
Kaniambia kuna hofu ya mabadiliko makubwa ya matokeo na wakubwa wanajipanga vilivyo.
Mmoja ya mipango ni kutoa ajira kwa wahitimu wengi wa vyuo waliopo mitaani. Hata hivyo anaonya hatuwezi kuajiri watu zaidi efu 60 kuanzia sasa hadi October 2025 kwani wahitimu ni zaidi ya laki 4.
Kuna mbinu nyingine kaniambia bado ni mapema kuivujisha.
Yaani watoto wa 2000+ watie wacwas?Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama.
Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema yeye, haivutii hata kidogo.
Kaniambia kuna hofu ya mabadiliko makubwa ya matokeo na wakubwa wanajipanga vilivyo.
Mmoja ya mipango ni kutoa ajira kwa wahitimu wengi wa vyuo waliopo mitaani. Hata hivyo anaonya hatuwezi kuajiri watu zaidi efu 60 kuanzia sasa hadi October 2025 kwani wahitimu ni zaidi ya laki 4.
Kuna mbinu nyingine kaniambia bado ni mapema kuivujisha.
Saivi ongezeko ni kubwa mnoKwani wapiga kura vijana ndio wanaanza mwaka 2025? Miaka mingine hawakuwepo?
Wapiga kura milioni 33 ??Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama.
Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema yeye, haivutii hata kidogo.
Kaniambia kuna hofu ya mabadiliko makubwa ya matokeo na wakubwa wanajipanga vilivyo.
Mmoja ya mipango ni kutoa ajira kwa wahitimu wengi wa vyuo waliopo mitaani. Hata hivyo anaonya hatuwezi kuajiri watu zaidi efu 60 kuanzia sasa hadi October 2025 kwani wahitimu ni zaidi ya laki 4.
Kuna mbinu nyingine kaniambia bado ni mapema kuivujisha.
Wao washasema ni zaidi ya million 34Hio 33M yenyewe ni kubwa mno, kama kuna watakaoenda kituoni basi ni kama 12M tu na wala wasitegemee miujiza maana kura nyingi miongoni mwao zitakuwa za "HAPANA" ukiacha wale walioajiriwa na kulamba asali.
Mkuu, sio tetesi tena, Tume imesema ni zaidi ya wapiga kura million 34.Idadi hiyo ni idadi ya kupika, na huu ni muendelezo wa daftari liliharabiwa wakati wa Magufuli Ili kumuwezesha kupata kura za uongo.
Sensa ya juzi ilionyesha Tanzania ina watu 61m+. Hakuna uwezekano kwa nchi kuwa na watu sawa walio juu ya miaka 18+ na walioko chini ya umri huo. Wanachojaribu kusema ni kuwa Kila watanzania wawili, mmoja atajiandikisha kupiga kura, jambo ambalo sio kweli. Ni watu wajinga tu watajitokeza kupiga kura kwenye mazingira ambayo ni wazi toka awali ni ya udanganyifu. Wakitaka wakubali daftari lianze upya, na hilo likifanyika hakuna uwezekano wa wapiga kura kufika 20m.
Huo ni ushahidi wa kwanza kuwa uchaguzi huo utakuwa na matokeo ya kupangwa. Na matokeo hayo itakuwa ni kwa faida ya ccm.Mkuu, sio tetesi tena, Tume imesema ni zaidi ya wapiga kura million 34.
Upo sahii mkuu, humo kuna under five, plus under 18 , ila bado wapo wanaoendelea kutwaliwa , 33m ni janja janja tuIdadi hiyo ni idadi ya kupika, na huu ni muendelezo wa daftari liliharabiwa wakati wa Magufuli Ili kumuwezesha kupata kura za uongo.