Hawakutegemea hata hilo mojaDah!
Hawa mashabiki wa CuraΓ§ao wamefurahi kinoma!
I felt their energy! Mpaka nami nimewashangilia π.
Nao sio kizembe kumbe kurudisha mapema tu dahhhUko na Curacao? Wewe ni jasiri
Hapana ila nipo hapa hapa Houston nimekuja kumcheki mshikaji.Upo uwanjani ?
Tulio nyumbani mnatutesa huku na mechi zenu hizo hata kulala kwa tabu mechi usiku mzito ha haHapana ila nipo hapa hapa Houston nimekuja kumcheki mshikaji.
Mimi nitakuwepo Mercedes Benz stadium keshoβ¦..
Sijapendezwa wala nini...
Dah!! Hapana aisee