Messi chance ya offside aliitumia vizuri, bado kumalizia anajua huyu. Algeria one chance yao wanitendea haki hawatoijutia kama Senegal. Mechi ina ushindani dakika za mwanzo.
Messi rekodi ya Miroslav Klose kombe la dunia anaivunja bado goli mbili kuifikia. Mbappe naye anaivunja. Na Messi kafunga kila mechi yake kati ya 5 za mwisho alizocheza.