Au hajui kuchezea miguu yoteπKupanic wapi nini hajui kuhusu mpira yuleππhawana utulivu ....kuna Jitu linataka hattrick hukuππ
Pole jamani πBalaa! Nimeingia toilet narudi ubao wa matokeo unaumiza
Watapigwa tena wakiendelea na utoto wao..kule ni WC watu wanakuja mara 1 kwa miaka 4..so ukipatikana unakaangwa mchana mchanaAu hajui kuchezea miguu yoteπ
Pole yao.. watajaribu next timeβ¦ ataipata ni suala la kuchangamka tu π₯
Pole MkuuBalaa! Nimeingia toilet narudi ubao wa matokeo unaumiza
Bora umeliona hilo..Senegal jana magoli mawili ya waziIla kushabikia timu za Afrika yataka moyo sana.
Ni kama vile wachezaji wa Kiafrika IQ yao ya soka ni ndogo.
Nchi zingine wakipata fursa ya kufunga magoli, wanafunga magoli.
Timu za Kiafrika zikipata fursa za kufunga magoli, zinafanya madudu tu.
Mkuu poleZidane anashuhudia kijana wake akiazibiwa
Mtu anassist pass mwenyewe na kufunga mwenyewe mtu gani huyo..wamtoe bwana weee atoleweMessiiiiiii
Algebra hawatoboi tena hapa