Miyeyusho πRonaldo π π π
Sio mbaya sana lknMiyeyusho π
Goat ni mmojaπππtunaendelea na record au za goat au..?
Aahhhh wapi, labda hio channel unaangalia weyeHalafu wataalamu wa Video washagundua wakimzoom wanamdhalilisha.
Wanamwonyesha chap na kukimbiza camera
Halafu wataalamu wa Video washagundua wakimzoom wanamdhalilisha.
Wanamwonyesha chap na kukimbiza camera
Weeee hujaona! Ilikuwa camera inampitia kwa sekunde tuAahhhh wapi, labda hio channel unaangalia weye
Imewakata sn imeshusha moraliLile lao moja?? Uliona ni la halali?
Aahhh wapi, nimeona hadi 6 packWeeee hujaona! Ilikuwa camera inampitia kwa sekunde tu
Mi mbona timu Man united? Na MadredeMwanaume hazeeki mkuu au mshausahau msemo wenu? Mnamsakama sana Ronaldo mpaka inashangaza sijawahi ona wanaume wakichukiana kihivi kawaibia nini?