2026 FIFA World Cup - Special Thread

Spain: Inaongoza kundi ikiwa na alama 4. Inahitaji ushindi au sare ili kujihakikishia nafasi ya kwanza.
Uruguay: Chini ya kocha Marcelo Bielsa, ina alama 2 kufuatia sare mbili za kwanza. Inahitaji ushindi wa lazima ili kufuzu moja kwa moja bila kutegemea matokeo ya mechi nyingine kati ya Cape Verde na Saudi Arabia
 
Mchezo mwingine wa Kundi H wa Kombe la Dunia 2026 kati ya Saudi Arabia na Cape Verde (Cabo Verde) pia umeanza hivi sasa katika uwanja wa Houston Stadium nchini Marekani, na matokeo ya sasa ni 0-0 Dakika ya 11.
 
Hesabu za Kufuzu
Cape Verde: Ina alama 2 baada ya kutoa sare ya kustaajabisha dhidi ya Spain (0-0) na Uruguay (2-2).


Saudi Arabia: Ina alama 1 pekee. Inahitaji ushindi wa lazima usiku wa leo ili kupata nafasi ya kusonga mbele, huku wakiiombea Uruguay isishinde dhidi ya Spain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…