Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Wallahi tena, kipindi cha pili wamecheza vzr sanaIvory Coast wanakuja kuchangamka game ishaisha 🚮🚮
Dah!...hawa Vikings wameondoka na pembe za ndovu...FT
Ivory Coast 1
Norway 2
🚮Na badoooooooooo!
Si mlitaka kushabikia mipira!!!!
Kama unaroho ndogo achana na mipira shabikia Xxx au Ccm
Absolutely Mkuu, nimetoka kuelezea post mbili za juu yako.Scars kwa majaribio waliyofanya IC kama Amad angeanza 1st half walikuwa na nafasi nzuri ya kutoboa hii match.