2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kocha wa Sweden alitakiwa kati ya Gyokeres au Isak mmoja wapo aanzie nje, then angeanza kiungo asaidie kukaba wangepunguza presha.France wanatililika na hawatanii hapa kuna msumari wa tatu na uona.
 
Yani huyu Olise akitua pale Bernabeu huyu aisee ngoja nisimalize maneno
 
Mbappe alimpa pasi Olise ambayo ilikuwa ni hatari kukaribia goli ila ika deflect na kuwa kona.

Huu ni ujumbe anaotuma Mbappe kwa Perez kuwa combination yake na Olise ina impact
Your browser is not able to display this video.
 
Top 4 ya wachezaji hatari wa muda wote :

1. Champions League Ronaldo.

2. World Cup Mbappe.

3. Copa Del Rey Messi.

4. Instagram Yamal.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…