The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hapo ni mafanikio kwao tayari,kila mchezaji kisha jijengea jina huko Kijijini kwao kua alishiriki World Cup na picha yake itawekwa kwenye kila sebule ya nyumba hapo kijijini.Waafrika hakuna vilio, hawa weupe mara wanamwaga chozi
Huyu bwana hua namchanganya na Chiwetel Ejiofol, naona wanafanaMbona watu wa hivyo wapo wengi sana tu.
Kama uliangalia series ya The Blacklist utagundua kuna jamaa mle anaitwa Harold Cooper ni mweupe kuliko hata wale wa Asian aliokuwa akifanya nao kazi
View attachment 3620109
Hadi Morroco umewatembezea panga?Sishabikii tena team za Africa,
Unaweza kufa kisha yenyewe yanacheka tu uwanjani.
Nimekubali Mkuu.Africa ni kichwa cha mwendawazimu
Tutumie wafungaji waliozaliwa kwao au kulelewa kule.
Si umeona kilichotokea. Yaani Timu za Afrika zilizo nyingi ushubwada mtupu. ๐Pole sana kumbe ww shabiki wa amad, nilikua naiona IC ikifika mbali ila daah wachezaji wapumbafu. Natamani Senegal ashinnde ila nitaangalia bila matarajio yoyote kama ilivyo kwenye mechi hii
Kazira. Ha ha haaaHadi Morroco umewatembezea panga?
Unatupoteza wengineKane: That should be a penalty!!!!
Referee: STFU! You are not Messi..View attachment 3620116
Senegal saa tano usiku leo...Congo outtttttttt!
๐๐๐umekunywa nn we mzeeLakini Mbappe ni mweupe sana kuliko hata baadhi ya wazungu.
Naona umeamua kuwatupia mawe Argentina japo hawapo uwanjani...๐๐๐..Kane: That should be a penalty!!!!
Referee: STFU! You are not Messi..View attachment 3620116
Mkuu unatumia app gani au extension gani kudownload clip kutoka kwenye LIVE feedIf you watch Micheal Olise
You will thinks Yamal is A carpenterView attachment 3620118
Serious.๐๐๐umekunywa nn we mzee