2026 FIFA World Cup - Special Thread

"Waliolelewa au kuzaliwa nje".

Sio wanaocheza nje. Hata Samatta anacheza nje.
 
Sasa mimi mtoto wangu akizaliwa nje unategemea nimwambie achezee nchi amabayo haijui na wala haishi huko
Unaota wewe
Kwanza hata mimi kama mzazi, nitafanya ya kama mzazi wa Bakayo Sako
Mkataa kwao ni mtumwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…