2026 FIFA World Cup - Special Thread

Unadhani! Mie nakubali kabisa wala sikupingi Gemini mwenzangu. πŸ˜…πŸ˜…

Nilijikuta najuta kukaa macho. πŸ™ƒ inakera sana
Mm nilijua tayari wameshinda nikawa upande wao daaah. Sifanyi kosa hili tena....Nimeumia sana ila sio kama kwa IC, pole Gemini mate
 
Kuna jamaa leo hii aliniambia kuwa watu weusi huwa akili yao inaishia kipindi cha kwanza tu cha mpira, baada ya hapo hamna kitu tena...naweza kukubaliana nae🀣
Wote wanakuja kuzidiwa mwishoni, tafauti na Morocco
πŸ˜€πŸ˜€ Hata Starling mwanzoni huwa anapigwa na jambazi. Lakini mwishoni lazima jambazi liuwawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…