Sasa ameacha zote ameenda kuchezea Australia
Muda unaenda harakaDk 61
1-1
Haya bhana, ila hao Cape Verde zikipungua sana goli 3π π π Bila shaka Mtani umeshawahi kukutana na ile kauli ya "ya Mungu ni mengi"
Si ndio. π
Nilisema mimiDK 81
1-1