Hahahaaa. Hujafanya poa ujue.
๐๐๐ Hivi England mnacheza na nani mtoano?Kimbia faster!!
๐๐Kimbia faster!!
Usijali Mtani ๐คKweli kabisa.
Tuko pamoja mno.๐ค
Ila Mtani unajitahidi bana baada ya World Cup unahitaji zawadi.
Upo Active mbaya.
Uzi unautendea haki japo kuna wadau nao hawakuachi peke yako.
Greatest Of All Time
๐๐Kabisa. Amejua kutupoteza aisee. ๐
Karibu sana kwenye asali na maziwa.Kuanzia leo nitakuwa pamoja nawe Mtani.
Wacha nitembee na Argentina sasa. ๐
Yaanai mlijua kutupa presha ila ndio hivyo mkubwa ni mkubwa tuMtani Mtani. Umeona tulivyowakazia lakini.
Hadi wan twenti. ๐ ๐
Hakuna beki aliyeweza kumzuia Messi, HAKUNA.Hii timu ukikaba Messi vilivyo hamna kitu
Ahsante sana Mtani.Karibu sana kwenye asali na maziwa.
Tunacheza jumanne saa 1:00 usiku dhidi ya Mafarao wa Misri
๐ ๐Dah! Ila mwanetu ile game mlitota sana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kweli kabisa. Cape Verde ni balaa.Yaanai mlijua kutupa presha ila ndio hivyo mkubwa ni mkubwa tu
Tatizo ungeniomba asikrimu yangu ya ukwajuHahahaaa. Hujafanya poa ujue.
Hawaamini kama mbuzi wao kahenyeshwa na walioitwa underdog ๐คฃ๐คฃ๐คฃDah! Ila mwanetu ile game mlitota sana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Magoli ya chrstiano Ronaldo ya timu za Taifa karibu asilimia 90 amezfunga hizo timuWakati tukimpongeza Messi kwa kuandika rekodi ya kwanza kwa dunia kuwa na mfungaji bora mwenye goli 20.
View attachment 3622397
Tukumbushane na zile nchi ambazo alizifunga kwenye haya mashindano hadi kufikisha jumla ya idadi ya mabao 20.
๐ท๐ธ Serbia & Montenegro - 1
๐ง๐ฆ Bosnia & Herzegovina - 1
๐ฎ๐ท Iran - 1
๐ณ๐ฌ Nigeria - 3
๐ธ๐ฆ Saudi Arabia - 1
๐ฒ๐ฝ Mexico - 1
๐ฆ๐บ Australia - 1
๐ฉ๐ฟ Algeria - 3
๐ฆ๐น Austria - 2
๐ฏ๐ด Jordan - 1
๐จ๐ป Cape Verde - 1
Hayo ni magoli 16 kati ya magoli 20 aliyofunga.
Hayo manne mengine ni dhidi ya
๐ญ๐ท Croatia - 1 (penalty)
๐ซ๐ท France - 2 (1 penalty, 1 open-play goal)
๐ณ๐ฑ Netherlands - 1 (penalty)
So hapa tunaona goli 3 kati ya nne alizofunga kwenye hizi giant timu zilikuwa ni penalty.
Na we hukupanga kunigawia. ๐คฃTatizo ungeniomba asikrimu yangu ya ukwaju
Siwezi kuwagawia mashabiki wa Ronaldo siwapendi kama maccm.Na we hukupanga kunigawia. ๐คฃ
Haya siku ingine tena ila nikikuona mimi mwanzo sitajificha.