ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Tulia kijana mi nashabikia wanaume π₯π₯π₯Binti rudi kapike mandazi mechi ngumu hii
Kwa kweeli. πͺWajishikilie sasaβ¦hii ndio Argentina mtani
Km hao wambie kitu kmekua kigumuWatangazj wa Azam wanasema misri imemtoa Argentina wakati mpira haujaisha, huku wakinogesha na maneno ya kiarabu
Sijui hata mwisho utakuaje ila nimekatika Sana kwa hilo pigoDuh!... hatari sana
Daahπππ ngoja niseme kwa MessiMgumba kapata mimbaβ¦ mate mji mzima π
Hapana Wamefanya mabadiliko timu ikawa dhaifuWanazingua nini?
Hamna sehemu wamekosea, ndio mida ya Waafrika hii kufungwa.
Egypt wamtegemee Salah naye afunge. Kila timu itumie star wake. Hassan kutolewa nje ilikuwa hasara kwa Egypt.
FIFA PrincessMi VAR tena
Nilikuwa nakusoma hapo juu hadi huruma. π€£π€£Wachawi hiiiπππ
πππ
Wanatuhuzunisha sana
Leo siowaoni vibenteni vya ufaransa naona tu nyumba ndogo za CR7πππ
Wanatuhuzunisha sana