Siwezi kushangaa.Kesho mtamsahau mbape wenu, atalia kama mtoto na kumfuata idol wake π
Morocco π²π¦πͺπ½πͺπ½
Mpaka sasa timu zangu zote zmetinga robo final
Argentina π¦π·π¦π·β β β β β β β
Morocco π²π¦β β β
Spain πͺπΈ β β
Kila lakheri kwao
Mmeanza, kwahiyo ikitokea ufaransa akishinda mtasema nini? Ikitokea morocco ameshinda means amebebwa! ππ kazi kweli kweli
Dalili ya mvua ni mawingu.Mmeanza, kwahiyo ikitokea ufaransa akishinda mtasema nini? Ikitokea morocco ameshinda means amebebwa! ππ kazi kweli kweli
πππhisia zitawatesa sanaHuwezi ku rule out kuwa kulikuwa na foul kwenye build up kuelekea goli la 3 La team fifa, wanabebwa sana hiyo ipo wazi
We jamaa mambo ya utakatishaji pesa sisi hayatuhusu, furaha yetu ipo ndani ya dk 90,Dalili ya mvua ni mawingu.
Tushaona upendeleo waliofanyiwa Argentina kwa maamuzi yaliyoinyonga Egypt.
Tumeona jinsi Rais wa FIFA akiweka wazi hisia zake kwa Argentina.
Tumeona namna Rais wa FIFA alikasirika baada ya Egypt kufunga bao la pili (japo baadaye kwenye game ya Colombia alionekana akishika bendera ya Egypt ili kuua soo ku clear tukio lake la kukasirika baada ya Egypt kufunga bao)
Tumeona jinsi Rais wa AFA ambaye saizi anakabiliwa na kashfa ya utakatishaji fedha wa zaidi ya dola milioni 57 akiwa yupo kwenye uchunguzi chini ya FBI.
Na mbaya zaidi tumeona jinsi Raisi huyo wa AFA bwana Claudio Chiqui Tapia akikumbatiana na Raisi wa FIFA Gianni Infantino kwa furaha ya kushangilia bao la tatu la Argentina.
Haya matukio yote yanakufikisha kwenye hitimisho moja, there's something fishy going on in this tournament
πππhisia zitakumaliza we mtuKatika historia ya kombe la dunia hakujawahi kutokea mechi ikapangiwa waamuzi wote kutoka nchi moja.
Kwa mara ya kwanza tangu mashindano haya yaanze mwaka 1930, mechi kati ya France Vs Morocco itasimamiwa na waamuzi kutoka taifa moja.
Hao waamuzi ni raia wa nchi gani? Jibu rahisi tu, wote wanatokea Argentina.
Another rigged tournament.
View attachment 3624725
Hahahaa! Mi niko nyuma yako Mtani.Tushawakela sana, so wanatuvizia tuanguke waanze mashambuliziβ¦ππππ
Tutadili nao kiulalo ulalo
Mim8 shabiki wa Messi ila swala la mabao ya penalti, messi anakosa sana penaltyMessi ana mabao 672 Barcelona, na mabao 122 Argentina yote alibebwa...?
Ronaldo ana mabao 186 ya penalty..
Messi ana mabao 116 ya penalty...
Sasa jitafakari nani alibebwa zaidi..
Messi anakosa magoli ya penati coz anajua kua atafunga magoli ya kawaida,Mim8 shabiki wa Messi ila swala la mabao ya penalti, messi anakosa sana penalty
πππebu acha bhana, tumtetee kwa meng8ne ila si hili swala la kukosa penaltyMessi anakosa magoli ya penati coz anajua kua atafunga magoli ya kawaida,
Hua wanasema magoli ya Messi ni ya penati,ndio maana kaamua kutokufunga kwa penati,
Hilo wala usiwaze sana,GOAT anajua anachokifanya.
πππebu acha bhana, tumtetee kwa meng8ne ila si hili swala la kukosa penalMessi anakosa magoli ya penati coz anajua kua atafunga magoli ya kawaida,
Hua wanasema magoli ya Messi ni ya penati,ndio maana kaamua kutokufunga kwa penati,
Hilo wala usiwaze sana,GOAT anajua anachokifanya.
Kwani hufahamu match fixing huanzia nje ya uwanja?We jamaa mambo ya utakatishaji pesa sisi hayatuhusu, furaha yetu ipo ndani ya dk 90,
Umekaa kisiasa sana thats why unatafuta hata mambo ya nje ya uwanja ili mradi tu upate furaha kwa kuikosoa Argentina, we endelea kuteseka huku sisi tukisheherekea.
Bro you're stupidity is unmatched and top-notch duuh.
Wacha zinimalize cha msingi ujumbe ufikeπππhisia zitakumaliza we mtu
Mashabiki wa ronaldo mna kazi, na mtahama timu sana, na ufaransa wenu out, labda wabebwe tuDalili ya mvua ni mawingu.
Tushaona upendeleo waliofanyiwa Argentina kwa maamuzi yaliyoinyonga Egypt.
Tumeona jinsi Rais wa FIFA akiweka wazi hisia zake kwa Argentina.
Tumeona namna Rais wa FIFA alikasirika baada ya Egypt kufunga bao la pili (japo baadaye kwenye game ya Colombia alionekana akishika bendera ya Egypt ili kuua soo ku clear tukio lake la kukasirika baada ya Egypt kufunga bao)
Tumeona jinsi Rais wa AFA ambaye saizi anakabiliwa na kashfa ya utakatishaji fedha wa zaidi ya dola milioni 57 akiwa yupo kwenye uchunguzi chini ya FBI.
Na mbaya zaidi tumeona jinsi Raisi huyo wa AFA bwana Claudio Chiqui Tapia akikumbatiana na Raisi wa FIFA Gianni Infantino kwa furaha ya kushangilia bao la tatu la Argentina.
Haya matukio yote yanakufikisha kwenye hitimisho moja, there's something fishy going on in this tournament
Tatizo husomi post zangu.Bro you're stupidity is unmatched and top-notch duuh.
Mbona game ya Argentina vs Egypt refa alikua mfaranaa na hamkusema kitu??
View attachment 3625726