comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mimi nlishaacha kuangalia Nina karibia mwaka wa 2Utopwinyoz leo amemla kichwa julio huko mwisho wa reli
Marekani hapo jua la utosiHawa jamaa mbona ni kama wanachezea kwenye jua kali
Wanachezea san Francisco marekani Sasa hivi ni saa 6 dakika 41 mchanaHawa jamaa mbona ni kama wanachezea kwenye jua kali
Watapewa cool breakWanachezea san Francisco marekani Sasa hivi ni saa 6 dakika 41 mchana
Kwanjni game zisipigwe kuanzia jioni, au uhaba wa viwanjaπWanachezea san Francisco marekani Sasa hivi ni saa 6 dakika 41 mchana
Huku sasa si itakuwa asubuhi saa 3, tusiende kazini sasaπ πKwanjni game zisipigwe kuanzia jioni, au uhaba wa viwanjaπ
Yeah kila baada ya dakija 24 kila kipindiWatapewa cool break
Pira halina mvutooooWashatupia kimoja huko tayari
Offside lazima mtu azidi mwili mzimaIla wazee kiuhalisia lile goli la uswisi ni offside halali kabisa
Yah hata vivuli vyao ni kama wanavikanyagaWanachezea san Francisco marekani Sasa hivi ni saa 6 dakika 41 mchana
Hii tuna buy time tu kuisubiri ya Morocco π²π¦ na Brazil π§π·...Uswisi vs Qatar
Game imepoa sana
Qatar hawatoboi hapa ngoja tuone dakika zilizobqkiSawaa.
Dk 85
Uswisi 1 - 0 Qatar