T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Wana rekodi moja kali sana kwenye kuzuia. Nakumbuka mechi yao ya kwanza wanashambulia vibaya wameenda na utaratibu wao huo wa ushindi mwembamba na kutofungwa.SPAIN KARUSU GOLI MOJA TU MASHINDANO MAZIMA.
RUDIA TENA GOLI MOJA TU.
Hawamzingatii na hapo wanamfanyajeπ€£π€£π€£Anavyo jishika shavu ni kama anaumwa jino ila Spain hawamzingatii
View attachment 3633044
Kweli kabisa
Hii fedheha aisee Kuna wengine wanstafu bila hata fainalYamin Yamal at the age 19 anakuwa bingwa wa dunia.