Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Matokeo ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa yamewatangaza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja Na Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi Kuwa wagombea Urais 2025-2030.
Marais hawa watakuwa wanakamilisha Ngwe zao za Pili za Uongozi katika Ngazi ya Urais Katika Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kutokana na Utamaduni wa CCM na Pia kutokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marais hawa hawataweza kugombea tena Nafasi hizo Mwaka 2030-2035.
Hivyo Tutarajie wagombea wapya pande zote mwaka huo wa 2025.
Awamu za nyuma Ilikuwa Mgombea Urais Mpya wa JMT anamkuta Mgombea wa Zanzibar ambaye Ni Rais au Mgombea Mpya Zanzibar anamkuta Mgombea wa JMT ambaye Ni Rais. Hii ilisaidia sana Chama Cha Mapinduzi katika Kushinda Urais
Mf. Dkt Magufuli alimkuta Mohamed Shain, vilevile Dkt Hussein Mwinyi alimkuta Magufuli.
2030 watakutana wapya wote.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.