2030 nikiwa rais, kila mkoa utakuwa na wabunge 2 tu. MaRC, maDC na maDED kukatwa

Ndio maana huna jinsi
 

1. Vipi ruzuku vyamani, malipo itaendelea kuwapo au ndiyo tutegemee nyongeza zaidi?

2. Vipi mishahara na marupurupu kwa waheshimiwa, itaendelea Kwa kufuru kama hivi au ndiyo itaendelea kupaa?

3. Vipi malipo kwa wenza wa wa vigogo?

4. bIla msimamo wako kwenye haya mbona Bado hujasema?

Ninakazia hadi useme!
 
Hivi urais gani mnaongelea nyie vijana ? Au urais wa TLS au wa Young AFRIKA??
 
Mengi Kati ya uliyoeleza sio matakwa ya rais aliye madarakan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…