πŸ€”

Ri baba yangu ridogo hilo!! halitanikumbuka kabisaaa nimesha liona kwa sababu linachukia ninavyo fanikiwa!! halafu lilevi la hovyoooo!! linajipendekeza kunisaidia lkn sitaki sometimes linalazimishaaaa! kunipa misaada!!

eti linataka niende kulisalimia kwa lazima wajamani mweee!! sijui linataka kuniroga mazima ??? siliamini kabisaaa na undugu kwisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…