21.01.2025 CHADEMA kufa au kupona

21.01.2025 CHADEMA kufa au kupona

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Wananchi wameapa kama Lissu hata shida Uchaguzi ndio utakuwa Mwanzo wa mwisho wa CHADEMA

 
wananchi wapi hao CCM imashinda serikali za mtaa kwa asilimia 99%

Tanzania hakuna upinzani
Huo sio ushindi halali, ushindi halali ccm ingepata chini ya 55%

Chakushangaza sijui ni kwanini wanaiba?
 
Team Lisu acheni kelele subirini sanduku la kura

Kampemi yenyewe hamjui kufanya

Mbowe team wametulia tuli wanasubiri wawaonyeshe cha mtema kuni
Zimebaki siku 8 tu Lisu aonyeshwe cha mtema kuni kwenye sanduku la kura

Hataamini miwani yake ataomba ibadillishwe lensi kabla ya kutimkia ubelgiji
 
Back
Top Bottom