Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Huo sio ushindi halali, ushindi halali ccm ingepata chini ya 55%wananchi wapi hao CCM imashinda serikali za mtaa kwa asilimia 99%
Tanzania hakuna upinzani
Sasa sijui wanaondoka kwenda wapi. Waje wajazilizie zifike 100% october 2925wananchi wapi hao CCM imashinda serikali za mtaa kwa asilimia 99%
Tanzania hakuna upinzani