21st to remember. Tarehe 21 ya kukumbukwa.. A count down!

Labda Watanzania Wa Zanzibar,ila Sisi Watanganyika Hatuko Tayari,
Ndio Maana Na Kuishangilia Stars Yenu Ya Mama Hatuendi.
 
Narudia, hakuna watu rahisi kuwatawala kama chadema. We andaa vimada vyako vya kumponda jk au kutishia kuuangusha utawala wa Samia tu basi; utajipigia tone tone Hadi uvimbiwe🤣🤣🤣🤣

Slow slow kaiona fursa isiyo na jasho, kaikamatia.
 
mtu mzima mwenye heshima, familia na wajibu halali wa kujipatia kipata kamwe hawez kubebwa ufala wa kifikra na kupumbazwa na msukule mpotoshaji kama hamprhey polepole

hicho ni kiwango kibaya sana cha umaskini wa kifikra 🐒
 
Msimamo wake wa kutotoka ccm kautaja au upo pending?
 
Kwa kweli huo ni uhaini kamili kwani mimi nimehamasika sana.
 
mtu mzima mwenye heshima, familia na wajibu halali wa kujipatia kipata kamwe hawez kubebwa ufala wa kifikra na kupumbazwa na msukule mpotoshaji kama hamprhey polepole

hicho ni kiwango kibaya sana cha umaskini wa kifikra 🐒
Makuwadi mmewahi mapema asubuhi leo kuingia mitandaoni😂
 
Hizi hbari zinasikitisha sana
 
inasikitisha sana watu wazima kubebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo kama polepole 🐒
 
Tuombeane kila la kheri ,amani na utulivu,lengo ni kupata mstakabali.
 
Makuwadi mmewahi mapema asubuhi leo kuingia mitandaoni😂
kulikoni msukule polepole ukubebe ufala kifikra mdau wa JF mnobevu mwenye heshima kama wewe?

kimekupata nini hata kufikia kiwang?o hicho kibaya zaidi cha umaskini wa contents?


au umezidisha imani potofu za kishirikina na ramli chonganishi?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…