Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Ila chadema ndiyo iachwe izungujzie ccm badala ya makusanyo wa tone tone, sio? Hivi unajua hata mada yenyewe inahusu nini'?!!!Nafikiri mnge deal na mwanachama mwennzenu muachane na chadema tuna mambo mengi ya kufanya, kesi za kusimamia...tusipotezeane muda pumbavu.
CCM hamna viwango vyovyote vya kujipata, bila polisi, msajili na mahakama nyie ni nyanya tuHumu utaonekana mchambaji tu kama giggy money, weka ushahidi wa unachokisema. Bado sana kufikia viwango vya ccm nyie nyumbu wa lissu
Hivi huwa upo hai siku ccm inafanya jambo lake?!!! Mfano, ulikuwa hai siku uchukuaji wa fomu za wagombea mbalimbali wa ccm ulipofanyika?!!! Ule ndo ukubwa. Chukueni nyie muone kama Kuna hata mmoja atahangaika.CCM hamna viwango vyovyote vya kujipata, bila polisi, msajili na mahakama nyie ni nyanya tu
Nafikiri mnge deal na mwanachama mwennzenu muachane na chadema tuna mambo mengi ya kufanya, kesi za kusimamia...tusipotezeane muda pumbavu.Ila chadema ndiyo iachwe izungujzie ccm badala ya makusanyo wa tone tone, sio? Hivi unajua hata mada yenyewe inahusu nini'?!!!
Adui wa adui wako ni rafiki yakoChadema mnachekesha sanaaa leo hii shujaa wenu slow slow
Let's life goes
bila shaka huna akiliChadema mnachekesha sanaaa leo hii shujaa wenu slow slow
Let's life goes
Asante kwa kumbukumbuNasisitiza umuhimu wa vpn download mapema usije ukalalamika
Kwa sasa hataki tena.Hizi ni biti za mtaka rushwa, apuuzwe Anataka mkate wake.
Kwa ajili ya NchiChadema mnachekesha sanaaa leo hii shujaa wenu slow slow
Let's life goes
Labda wakimtoaMsimamo wake wa kutotoka ccm kautaja au upo pending?