Alikuwa anaitwa Chapel (sina hakika na spelling lakini pronounciation yake ni Shapel)
series nyingine inayofaa ma-great thinkers ni ile ya X-Files ni bonge ya movie ila ina seasons tisa na episodes kibao. jumla yake ni dvd disc 69 kwenye box kubwa
Dah JACK BAUER ni noma ila mtu ambaye ananichekesha sana ni PRESIDENT CHARLES ROGAN huyu jamaa alikua anambwembwe sana.
Hivi wadau kuna series gani nyingine yenye kulingana kimaudhui kama hii 24hours
nape nauye
samahani wandugu mnaongelea nini!??
Tunaongelea kuhusu series inaitwa 24. Nalog offsamahani wandugu mnaongelea nini!??
Teri baure,George Maison,Alexis Dresin,Victor Dresin,Andre Dresin,Milo Presman,Sara Garvin,Rogger Stanton,Sheri Palmer,Keith and Nicole Palmer,Alan York,Chase Edmond,Steven Soundres,Michael Armador,Gael Ortega,Victor Salazar,Ramon Salazar,Adam Kaufman,Erin Driscol,Miles Papazian,Karen Hayes,James Heler,Paul Rains,Behruz and Dina araz,Navi Araz,Habib Marwan,Edgar Stiles,Mike Novik,Christopher Anderson,Graham Baure,Josh Baure,Che Zhi,Mrs Logan,Aron,Gredenko,Hamri Al Asad,Abu Fayed,Mike Doyle,Nadia Yasir,Noa Daniels,Alison Teyler orodha ni ndefu wakuu nitaendelea nex time!
Kuna series inaitwa THE EVENT ndo kwanza ipo season one, nadhan itakuvutia io. Ni dizain za 24

umemsahau mwafrika mwenzetu wa season seven, colonel ike' dubaku (real name is hakeem kae' kazim) huyu jamaa namkubali sana
...ally yakuti.
umemsahau mwafrika mwenzetu wa season seven, colonel ike' dubaku (real name is hakeem kae' kazim) huyu jamaa namkubali sana
One of the best series kwakweli....ila tuache utani, Chloe O'brian ni noma!!!! kile kichwa bwana....