250k show time! Dadeki

250k show time! Dadeki

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
649
Kwanza kama wewe mwanaume unatoaje? Eti 250k hivi yeye na yule wa buza kwa rulenge wana tofauti gani? ?????
 
Attachments

  • 20241031_132750.jpg
    20241031_132750.jpg
    61.3 KB · Views: 5
  • 20241031_134823.jpg
    20241031_134823.jpg
    82.3 KB · Views: 6
Hivi bado watu mna honga?
Unataka kugundua nini?

Ebu toka usingizini, amka simama wekeza kwenye kesho yako.
Nenda chalinze, kisarawe, Bagamoyo Kiwangwa , nk nk kuna mashamba/viwanja huko.
Kuwekeza kwenye UCHI, ni uchizi na ni umaskini wako wa kesho.
Pumbavu!
 
Attachments

  • A.png
    A.png
    444.2 KB · Views: 5
  • B.png
    B.png
    520.4 KB · Views: 3
  • C.png
    C.png
    443.1 KB · Views: 4
Hivi bado watu mna honga?
Unataka kugundua nini?

Ebu toka usingizini, amka simama wekeza kwenye kesho yako.
Nenda chalinze, kisarawe, Bagamoyo Kiwangwa , nk nk kuna mashamba/viwanja huko.
Kuwekeza kwenye UCHI, ni uchizi na ni umaskini wako wa kesho.
Pumbavu!
Vijana wamekua watumwa wa K
 
Back
Top Bottom