Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Tunda limeoza balaaa😅😅😅Kwanza kama wewe mwanaume unatoaje? Eti 250k hivi yeye na yule wa buza kwa rulenge wana tofauti gani? ?????
Vijana wamekua watumwa wa KHivi bado watu mna honga?
Unataka kugundua nini?
Ebu toka usingizini, amka simama wekeza kwenye kesho yako.
Nenda chalinze, kisarawe, Bagamoyo Kiwangwa , nk nk kuna mashamba/viwanja huko.
Kuwekeza kwenye UCHI, ni uchizi na ni umaskini wako wa kesho.
Pumbavu!
Wasukuma ni watu wa hovyowasukuma wanauliza show time ni ile ya radio firii afirica au?