Viongozi wa nchi za EAC kukutana katika mkutano wa 25 wa kawaida wa wakuu wa nchi, Arusha

Viongozi wa nchi za EAC kukutana katika mkutano wa 25 wa kawaida wa wakuu wa nchi, Arusha

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
VIONGOZI WA NCHI ZA EAC KUKUTANA KATIKA MKUTANO WA 25 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI, ARUSHA

IMG-20260302-WA0020.jpg
IMG-20260302-WA0019.jpg
IMG-20260302-WA0018.jpg
 
𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐄𝐀𝐂 𝐇𝐄𝐀𝐃𝐒 𝐎𝐅 𝐒𝐓𝐀𝐓𝐄 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓

The EAC Heads of State are set to convene for the 25th Ordinary Summit of the EAC Heads of State on 7th March 2026, in Arusha, United Republic of Tanzania.

Theme: ‘𝑫𝒆𝒆𝒑𝒆𝒏𝒊𝒏𝒈 𝑰𝒏𝒕𝒆𝒈𝒓𝒂𝒕𝒊𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒓 𝑰𝒎𝒑𝒓𝒐𝒗𝒆𝒅 𝑳𝒊𝒗𝒆𝒍𝒊𝒉𝒐𝒐𝒅𝒔 𝒐𝒇 𝑬𝑨𝑪 𝑪𝒊𝒕𝒊𝒛𝒆𝒏𝒔’.

#25thEACSUMMIT
#ProudlyEastAfrican
#EACBond

For more information-🔗 shorturl.at/EM0p4
 

Attachments

  • 20260302_181425.jpg
    20260302_181425.jpg
    276.8 KB · Views: 15
1. Kagame hatakuja kwenye mikutano useless kama hiyo.
2. Jumlisha Salva Kiir naye hawezi kuja
3. Somalia na DRC nao hawawezi kuja kupoteza muda wao
 
Huwa mnajielewa kweli? Yaani Mnaposti habari kwenye chombo mlichokifungia?
 
Somalia sio Nchi inapewaje , u member wa EAC ?
 
Mkutano usio na tija. Kagame na Tsishekedi wao wameona hapa ni porojo wakaenda kwa Trump kupatanishwa! Wamegundua jumuia ya EA ni kupotezeana muda.
 
1. Kagame hatakuja kwenye mikutano useless kama hiyo.
2. Jumlisha Salva Kiir naye hawezi kuja
3. Somalia na DRC nao hawawezi kuja kupoteza muda wao
Mamamamamamae, go Samia Suluhu Hassan, gooooooooooo! Haters wanazidi kurembetukwa na makalio yao tu kutokana na kukataliwa matakwa yao maovu na Mungu.
 
Mkutano usio na tija. Kagame na Tsishekedi wao wameona hapa ni porojo wakaenda kwa Trump kupatanishwa! Wamegundua jumuia ya EA ni kupotezeana muda.
Liangalie hili hater lilivyokosa akili kabsaaa maskini.
 
Liangalie hili hater lilivyokosa akili kabsaaa maskini.
Kagame na Tsishekedi walipatanishwa na jumuiya ya Africa Mashariki ama Trump? Kama mna jumuiya yenye nguvu wangeenda huko?
 
𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐄𝐀𝐂 𝐇𝐄𝐀𝐃𝐒 𝐎𝐅 𝐒𝐓𝐀𝐓𝐄 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓

The EAC Heads of State are set to convene for the 25th Ordinary Summit of the EAC Heads of State on 7th March 2026, in Arusha, United Republic of Tanzania.

Theme: ‘𝑫𝒆𝒆𝒑𝒆𝒏𝒊𝒏𝒈 𝑰𝒏𝒕𝒆𝒈𝒓𝒂𝒕𝒊𝒐𝒏 𝒇𝒐𝒓 𝑰𝒎𝒑𝒓𝒐𝒗𝒆𝒅 𝑳𝒊𝒗𝒆𝒍𝒊𝒉𝒐𝒐𝒅𝒔 𝒐𝒇 𝑬𝑨𝑪 𝑪𝒊𝒕𝒊𝒛𝒆𝒏𝒔’.

#25thEACSUMMIT
#ProudlyEastAfrican
#EACBond

For more information-🔗 shorturl.at/EM0p4

The AXIS OF EVIL.
 
Back
Top Bottom