26yr old Crystal Harris weds 86yr old Playboy founder, Hugh Hefner

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
[h=3][/h]


Crystal Harris finally married Hugh Hefner on Monday December 31st 2012 after calling off her engagement to him just days before their wedding in 2011. There's a 60 year age difference between them which doesn't bother Mr Hefner. He tweeted
'The dramatic age difference between Crystal & me really doesn't matter. Whatever time I have left, we want to spend together.'
You want to spend time, she probably wants to spend something else...lol
 
Hahaha, kibiashara zaidi. The zombie might leave all his money to charity ushangae na roho yako. But ofcoz hata akiachiwa tu playboy mansion alone itamtosha.
 
uyu mzee anaoa kila siku,na anaachwa kila siku lakin ajifunz na makosa,umaarufu na pesa ndio zinafanya hivi,muda si mrefu ataachwa tena,uwa nashangaa akipiga picha na mabint ambao wako uchi kabisa,tena wanatokea kwenye vipind vyake na magazine,uyu mzee awezi kutulia
 
Nimependa vaiz lake....dadaa kaona mbali kweli
 
Mhh ukute mali zote kamrithisha mkewe wa kwanza na watoto!!!
 
Hapo hapendwi mtu, bali "pochi" & "umaarufu"!!! Huyu binti inambidi kuchunga sana "nzi asijefia kwenye kidonda" akaishia jela kwa "murder case"!!! labda kama "watishi" hawakati mauno!!!!
 
Huyo dada si mjinga kama mnavyofikiria hapo kuna MKATABA ambao umetiwa dole gumba ,keshaona mbali huyo dada akija fikisha mika 40 atakuwa mjane milionea,wacha babu akandwe bana,MTU PESA bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…