27January 2001, CCM iliekeza Majeshi kuua na kubaka watu Zanzibar waliotaka Katiba Mpya

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Swali kwa CCM, Mtaendelea kutumia Polisi watuue hadi lini?

Watu wakilalamikia Uchaguzi tu muunatuma Polisi watubambikize kesi, wakidai katiba mpya tu risasi. Mtatuua hadi lini? Ni mauaji ya sisi kwa sisi yatafika kikomo?

Mtu akishavvaa sare yya jeshi anajiona si Mtanzania. Anageuka kuua ndugu zake kisa kavaa nguoa aina fullani

Tumsikilize Marehemu Maalim Seif
Your browser is not able to display this video.
 
Ogopa Technology asee.

Ngoma imeanza upya.

Hadi Sasa sijui maana ya Dunia Zaidi ya kuona kama tupo kwenye mambo ya kufikirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…