nimesoma habari ya kusikitisha kutoka Sauzi kwamba zaidi ya 28% ya wanafunzi wa kike wana HIV, ikilinganishwa na 4% tu wa wavulana. na kwamba hali imefikia hapo kwa sababu ya SUGAR DADDIES.
Ni wazi kwamba Tanzania tunaelekea kwenye shimo hilo kutokana na mfumo wetu wa kijamii na kiuchumi kushabihiana na ule wa sauzi ingawa typo nyuma zaidi kwa ukubwa wa uchumi.