Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Tarahe 29 February hutokea mara moja kila baada ya miaka minne. Sasa basi kama utazaa mtoto siku hiyo, ina maana mtoto huyo atakuwa na birthday celebrations mbili tu kabla ya kuwa teenager, na inaweza kumuathiri kisaokolojia iwapo ataona wenzie wana birthday parties kila mwaka na yeye inabidi asubiri miaka minne.