Tarahe 29 February hutokea mara moja kila baada ya miaka minne. Sasa basi kama utazaa mtoto siku hiyo, ina maana mtoto huyo atakuwa na birthday celebrations mbili tu kabla ya kuwa teenager, na inaweza kumuathiri kisaokolojia iwapo ataona wenzie wana birthday parties kila mwaka na yeye inabidi asubiri miaka minne !!
Wakome tu.. mi nilikoswakoswa zingeongezeka siku tano tu kwisha habari yangu..π€£Nina watu wangu wawili wa karibu wamezaliwa February 29
π π π π
Umebana matumiziNina watu wangu wawili wa karibu wamezaliwa February 29
π π π π
Birthday inaathiri vipi saikolojia ya mtoto?Tarahe 29 February hutokea mara moja kila baada ya miaka minne. Sasa basi kama utazaa mtoto siku hiyo, ina maana mtoto huyo atakuwa na birthday celebrations mbili tu kabla ya kuwa teenager, na inaweza kumuathiri kisaokolojia iwapo ataona wenzie wana birthday parties kila mwaka na yeye inabidi asubiri miaka minne.
Katika vitu ambavyo nimeshindwa kuvitilia mkazo ni pamoja na birthday yangu...ukiachana na kuandika tarehe ya kuzaliwa kwenye documents mbalimbali sinaga interesting tena na habari zingine za siku yangu ya kuzaliwa.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Watoto ninao.Inawezekana huna mtoto, na kama una mtoto basi ni wale wanaojua kuchezea mavumbi mtaani tu hawajawahi hata kusikia sherehe za birthday