2nd,3rd year na wengineo wa MUCCoBS ninaomba ufumbuzi kuhusu hili.

2nd,3rd year na wengineo wa MUCCoBS ninaomba ufumbuzi kuhusu hili.

Jemsi

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
149
Reaction score
19
Habari zenu jf pipo?
Mi nimechaguliwa kujiunga na chuo hiki,nimechukua joining instruction na nimeona structure nzima ya ada,ambayo ni:
-caution money 30,000
-student organisation 10,000
-medical 100,000
-books 200,000
-tution fee 1,100,000
-faculty requirement 100,000
-meal 1,310,000
-accomodation 400,000
na mimi nimepewa mkopo wa milion 2.3 kinachonitatiza ni kwamba wamesema pesa zote za 1st year zilipwe siku ya registration bila hivyo hupokelewi,na ukilipa fedha zaidi haitarudishwa.
1) naombeni mnijuze ni kiasi gani kinachobakia kwenye ada baada ya kutoa mkopo?nisije nikalipa zaidi,
2)je ni kweli pesa zote zitalipwa siku hiyo? Coz ni nyingi ukizitoa kwa pamoja.
3)je mkopo unahusiana na fedha zipi hapo juu?
Nawashukuru kwa ushirikiano wenu.
 
Wakuu inamaana hakuna wahusika wa chuo hicho,
 
Jemsi mm mwenyewe tafuta msaada huo kwa watu wa muccobs lkn naona wako kimya xana ,ctaki niamini kama humu hamna majembe ya muccobs!!!!
 
Jemsi mm mwenyewe tafuta msaada huo kwa watu wa muccobs lkn naona wako kimya xana ,ctaki niamini kama humu hamna majembe ya muccobs!!!!

humu wamo,lakini ninaomba mfunguke kwa hili,mwanzo mgum lakini ukipata maelekezo inakua vizuri...fungukeni wakuu
 
humu wamo,lakini ninaomba mfunguke kwa hili,mwanzo mgum lakini ukipata maelekezo inakua vizuri...fungukeni wakuu

may be watakuwa hawamo coz pale unapo introduce thread about muccobs inakuwa na wachangiaji limited cjui kwa nn?
 
may be watakuwa hawamo coz pale unapo introduce thread about muccobs inakuwa na wachangiaji limited cjui kwa nn?

i think so,even u i want to communicate about the whole process of accomodation but u dont want to be open,
 
guyz kama wamexema ukilipa hela zaid haurudishiwi we lipa hata laki 2,thn ukienda ukaambiwa haitosh unauliza inakoxena kias gan thn unaenda kulipa,,kuliko kuzidisha
 
Back
Top Bottom