Babu mchumi
Member
- Jul 5, 2011
- 62
- 11
1. Acha POMBE - at least reverse the trend step by step
2. Acha mafuta ya KORIE & Like - Tumia Alizeti
3. Punguza stress - ni ngumu kidogo kwa mazingira ya sasa
4. Fanya mazoezi - hata kutembea tu
5. Jiepushe na moshi wa magari, hasa kwenye foleni za Dar
6. Kunywa maji ya kutosha, asubuhi na dk chache kabla ya kulala.
7. Kula matikiti maji - hasa mbegu zake (tikiti lililokomaa na kuiva vizuri, mbegu huwa nyeusi)
8. Kula asali
9. Pendelea sea food (ngisi - squids, pweza - octopus, kamba - prawns)
+punguza kazi za nje