Elections 2010 3 Days left to Election by Political analyst BM

Kwanza rudi shule uelewe maana ya kuwa analyst, then weka mawazo yako upya au vinginevyo futa neno analyst na weka politician. Halafu jielimishe kwanza, vyama vya siasa vilianza lini na before kulikuwapo na nini?
 

Nikisoma post yako Binti Maringo, napata picha kabisa kuwa wewe ni mojawapo ya wale ambao wanatetea ufisadi, sio kwa sababu wanaupenda, bali kwa sababu wanaganga njaa. Sorry.
 
Usifikiri watu wanichukia ccm kama chama..,
Wanachukia mfumo wa kujali walanchi wengi wakiwa na uraia mara mbili mbili...
Kura wapige wananchi wa malampaka,kiziba,tandahimba,rorya halafu walanchi waje wafaidi matunda..hilo ndo tatizo..
Solution iliyopo karibu ni kukitoa ccm mengine yatafuatia...
Inawezekana nawe ni mmoja wa wanaofaidika na huu mfumo ila wakumbuke mamilioni wanaoshindwa kupata angalau chai...
 
:israel::israel:Ukweli huna hoja ya msingi nafikiri ungefikiria kwanza kabla ya kuandika hiyo hoja ya kiherehere,hiki chama cha kidumu kimeshindwa sera zake zina nishangaza sana, kwa kweli tuwe wazi ,maendeleo ya nchi hayaletwi na chama kuna uwezekanano Tanzania ikawa na vyama vingi sana endapo hivyo vyama vina watu au viongozi mbumbumbu ni sifuri bali maendeleo huletwa na mtu makini asiye kurupuka,sisemi kwa unafiki hali wananchi iko hoi kila kona kwa kweli kama unataka maendeleo mdogo wangu binti malingo chagua DK sLAA.
 


 
:hippie:Jamani haka ka binti kametumwa kaoneeni huruma. Pengine KANACHAKACHULIWA NA nani hiii.... eeh. baada ya kufikishwa sehemu fulani kakakurupuka na hiyo hoja kaacheni msibishane nako. maana dilution ilikuwa kali bado kana kiwewe.
 
Wewe Binti M huwezi kutubadilisha kabisa na upeo wako finyu. Sisi tumeshaamua ninani tutampa kura na KAMWE hatuwezi kubadilka siku tatu/nne kabla ya uchaguzi. Labda kawaambie hii historia kule vijijini lakini si hapa kwa great thinkers
 
LOL!....I see you all in denial at this point...shauri yenu but just keep in Mind "I told you so"..:doh:...

Kumbe we BM ni analyst? Nilifikiri unaandaa zile ujumbe za kiShamte-Shamte...ofcourse yo've told us so, don't worry
 
kwaio km slaa mpayukaji inamaana tusifanye mabadiriko? ht km ni mpayukaji tunataka tumpe tumpe tuone na yy km atatuzingua basi tutabadirisha tena tutaendelea lini kwa kung'ang'ania chama kimoja miaka 50 sasa kila siku ni longolongo? mi namtaka huyo huyo mpayukaji
 

Huo ni Ukweli ingawaje unatuuma na hatutaki kuelezwa. Bila shaka tutakumbuka ukweli huu wiki ijayo wakati tunamwaapisha JK.
Chadema inatakiwa kusafishwa na Mhe Zito Kabwe ili kiwe chama makini kisichokumbatia ukabila, ukaskazini, u-ndugu-ndugu na uchafu mwingine. Kinatakiwa kifumuliwe na kusukwa upya na mtu mwenye uchungu na nchi hii (Zito) kabla hakijafikiria kuingia Ikulu. Kwa sasa kinaonekana kama kampuni au klabu ya Wachagga, wenye hisa nyingi ndio wanaoteuliwa uongozi. Forget about Ikulu at this level. I am sure Zito ataniunga mkono.
 
Kishongo ni kweli kabisa ukweli huwa unauma sana na watu kuanza kuleta maneno ya kashfa badala ya kujibu nilichoandika....ila ukweli unabakia pale pale na ndiyo maana hatuna maendeleo kwa sababu huwa hatupendi kukubali kabisa...Watu wangekuwa makini tungefika mbali sana ila blah blah blah ni nyingi sana....

Mimi sijamtetea mtu yeyote na sifungamani na chama chochote hapa ila nimetoa wazo kama unataka kulitumia its well and good lakini kashfa za nini?...
Ila kwa mtazamo wangu kama ndiyo watu mko hivi HATUTAFIKA...Watanzania acheni longolongo tuu jamani eeh!...
 

I say we should wait mpaka hiyo Jumapili...si wanakwambia mshindi kipenga cha mwisho right?....Lafu sijui watajificha wapi?.....Sisi watanzania tunasifika sana kwa Kashfa na longolongo lakini siyo kwa maendeleo wee wawekee bao wacheze na kikombe cha kahawa aah maisha wameyapatia ukiwaambia ukweli watakuita majina yote unayojua wewe....

HAHAHA Sasa wanaaanza kuchukia cheo changu hahahaha interesting kwa kweli....

xoxo BM!
 
BM huo utafiti wako umeufanyia wapi? ati Dr Slaa hataleta any change! I might agree with you; but, how about just something new, just for a change. Tumechoka to tell the truth, sijui aliyekutuma nani lakini hata Nyerere mwenyewe alishawahi kusema upinza wa dhati utatoka ndani ya CCM. This one looks legite to me
 
Heee
Kumbe hujpona kichaa chako, itabidi urudi milembe wakakufanyie utafiti tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…