3 master keys to make your wife love u forever

Thanks
 
Wanume msichague wanaume kama uchebe, mwanaume anakata vitasa bila hata huruma
 
Njoo kwenye mkesha wa kusifu na kuabudu, utafurahi wanaume wa kiroho wana hizo sifa zote

Hao wa kiroho nawaogopa kama ukoma.

Ukikaa mkao wa kuchuma mboga wanakwambia shindwa pepo la ngono khaaaaa!!???
Ukila denda dakika 10 bin mipapaso unaambiwa unalichafua kanisa la Mungu, Mungu hapendi......!

Ngochokaa.
 
Dah my dad alifanya yote haya alichoambulia,Mungu anajua.....

Kutokana na hayo, imekuvunja moyo kufanya kama alivyofanya baba yako au imekupa chachu kuboresha zaidi ya aliyofanya baba?

Unafikiri utakutana na mwanamama kama ambaye alikutana na baba yako?

Niwie radhi kama nimeuliza maswali ya kufikirisha yaliyo ndani ya moyo.
 
Aahahahhaaa acha uchokozi banaa, mie siigizi.

Umesahau Kasinde ni mama ya ma crush...!!!?
Mimi ni padri nitawafungisha ndoa na john, lini mpo tayari mama la mama
 
Hao wa kiroho nawaogopa kama ukoma.

Ukikaa mkao wa kuchuma mboga wanakwambia shindwa pepo la ngono khaaaaa!!???
Ukila denda dakika 10 bin mipapaso unaambiwa unalichafua kanisa la Mungu, Mungu hapendi......!

Ngochokaa.
Vijana wa yesu hawana hizo, hao ni wavuta bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…