3 ml nifanye biashara gani

3 ml nifanye biashara gani

KELLYN

Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
25
Reaction score
5
nina tsh 3 milion naweza kufanaya biashara gani naombeni ushauri please
 
Ukipenda na kuweza kujiandaa, nakushauri fuga kuku wa kienyeji. Hususan maeneo ambapo utakuwa na access nzuri na hoteli na migahawa mikubwa
 
Hili swali ulipaswa kujiuliza mwenyewe kwa kutathmini mazingira yako kwanza,ndipo uje huku kupata kujuzwa zaidi kuhusiana na aina ya hiyo biashara uliyochagua.
 
Back
Top Bottom