K KELLYN Member Joined Jul 5, 2012 Posts 25 Reaction score 5 Feb 3, 2014 #1 nina tsh 3 milion naweza kufanaya biashara gani naombeni ushauri please
Magnificient JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,162 Reaction score 705 Feb 3, 2014 #2 Ukipenda na kuweza kujiandaa, nakushauri fuga kuku wa kienyeji. Hususan maeneo ambapo utakuwa na access nzuri na hoteli na migahawa mikubwa
Ukipenda na kuweza kujiandaa, nakushauri fuga kuku wa kienyeji. Hususan maeneo ambapo utakuwa na access nzuri na hoteli na migahawa mikubwa
T time theory JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 766 Reaction score 637 Feb 3, 2014 #3 Hili swali ulipaswa kujiuliza mwenyewe kwa kutathmini mazingira yako kwanza,ndipo uje huku kupata kujuzwa zaidi kuhusiana na aina ya hiyo biashara uliyochagua.
Hili swali ulipaswa kujiuliza mwenyewe kwa kutathmini mazingira yako kwanza,ndipo uje huku kupata kujuzwa zaidi kuhusiana na aina ya hiyo biashara uliyochagua.