3 Types of People That Will Never Succeed in Life

 
Nadhani busara zaidi kuorodhesha sifa za successful people badala ya kuoredhesha sifa za failures.
 
You are not God you are just a man!! Only God knows!!
Everybody have a chance to make it if he/she knows how to use his/her personality in beneficial ways
 
 
Kuna siku nilikuwa namsema jamaa mmoja kwa mazuri na kumsifu kwa yale niliyoyaona kwake nilipokuwa nimekaa na watu flan ghafla kumbe yeye akawa anakuja taratibu na akawa anasikia yale maneno , basi jamaa alitokea kuniamini na kunikubali vibaya sana na yeye akajikuta ananisimulia mema yangu kwa watu
 
Mimi hayo maandishi ya kiingilishi.
Yananipa usingizi nikisoma yaani nasinzia hata sijafika robo.
Yabadili yawe ya lugha dar.
 
well said,

at least i gain something so useful and delightful in my life
thak you!


watu wanaosomaga vitabu vya "how to be rich" utawajua tu always wana kariri life
Linus torvald ni mtu ambaye yuko verbally abusive anatukana na Ana a bad mouth.But still he's succesfull.
Nadhani lengo lako lilikuwa kutu hadithia tu kuwa ulienda kufanya consumerism na familia yako
 

Attachments

  • linus-eff-you-640x363.png
    39.9 KB · Views: 161
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…