30+ Woman Single & searching

Maky1

New Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
4
Reaction score
13
Wasalam,

Kwa upande wangu nina 30+. Mtoto mmoja, Mwajiriwa na Mkristo. Napatikana nyanda za juu kusini, seriosly nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Uwe mkweli na muwazi.

PM iko wazi karibuni sana.
 
Kila la kheri ndugu
Wasalam,
Kwa upande wangu nina 30+,Mtoto mmoja,Mwajiriwa na Mkristo.Napatikana nyanda za juu kusini,seriosly nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu.Uwe mkweli na muwazi.Pm iko wazi karibuni sana.
 
Wasalam,
Kwa upande wangu nina 30+,Mtoto mmoja,Mwajiriwa na Mkristo.Napatikana nyanda za juu kusini,seriosly nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu.Uwe mkweli na muwazi.Pm iko wazi karibuni sana.
Ata kam under 25!??? 😒😒
 
Wasalam,
Kwa upande wangu nina 30+,Mtoto mmoja,Mwajiriwa na Mkristo.Napatikana nyanda za juu kusini,seriosly nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu.Uwe mkweli na muwazi.Pm iko wazi karibuni sana.
Tangaza malengo
 
MUNGU AKUPE HITAJIO LA MOYO WAKO LAKINI MIMI LEO NASEMA HIVIIII
WANANCHIIIIIIIIIIII
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
LEO NI KIVUMBI NA JASHO.
TUNATINGA NUSU FAINALI KIBABE.
MADUNDUKA LEO YATALILIA CHOONI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…