Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Tangu 2012, Serekali kupitia GDC (Geotherma development company) imekua ikifanya mazungumzo na wenyeji wa Silali , Baringo County ili waruhusiwe kufanya drilling yaeneo hili ambalo ardhi yote ya pale ni mali ya jamii ya hilo eneo, yani "Community land", ardhi kama hizi ukijumlisha Kenya nzima hua ndo ardhi kubwa ziaidi Kenya nzima, Community land, hua haina mwenyewe ni mali ya kila mtu anaisi hilo eneo....
Anyway, Baada ya miaka ya mazungumzo mwishowe jamii hi kupitia wazee wa vijiji walikubaliana na serikali na wakaruhusu exploration ifanyike, hiii ni baada ya serikali kuubali kwamba 15% ya faida yote itakayo tokana kwa hui miradi iabaki kwa jamii, inatarajiwa GDC na Kengen watakua wanapata mappato ya $100m kila mwaka wakimaliza huu mradi, tena isitoshe GDC wamekubali kujenga bara bara kwa hili eneo lenye milima ya kutisha, kwasasa Gdc inasema imeshajenga 70km tangu mwanzo wa 2016..
Visima ishirini vitachimbwa ndano ya eneo hili, na itagaramia $90M, mwanzo wtaanza na 200Mw, alafi 105MW, alafu 400MW, mwishowe ikifika 2026 watakua wamefika 3,000W kutoka hili eneo moja tu!
Google Maps
Drilling operation for geothermal energy in the Baringo Silali Block will commence in January 2017 - according Eng. Johnson Ole Nchoe, the Managing Director and CEO of theGeothermal Development Company (GDC).
The Baringo Silali Block Project has been funded by KFW of Germany to the tune of Ksh. 8 billion. GDC is expected to drill about 20 wells that will produce up to 200 MW of electricity. The Baringo Silali Block has a potential output of 3000 MW. GDC has already carried out comprehensive scientific exploration. The company has also paved roads in the project area that are critical for drilling operations.
Meanwhile, GDC has announced that power plant construction at the Menengai Geothermal Project, will commence in the next three months to tap and produce 105 MW of electricity. The company has contracted three Independent Power Producers (IPPs) to build three power plants in the project. This way, Kenya’s efforts towards cheap green electricity will be realized.
Read More.........
http://www.thinkgeoenergy.com/gdc-starts-exploration-works-for-baringo-silali-geothermal-project/