33m natafuta Mature Woman (45–50) — Casual Affair au Serious Relationship?

Unasikitisha sana. Mzee wangu alitufungulia Email ya Hotmail mwaka 2004. Akawa anatufundisha kutumia Email. Internet ya kwanza ya ttcl ya broadband dial up walivoanzisha Mzee aliifunga nyumbani.
Kwanini unasema nasikitisha sana?
Nimefanya vibaya kukuuliza?

Hiyo comment yangu uliyo iquote ni maswali nimekuuliza na sio kwamba ni hukumu nimekuhukumu.
 
Mkuu inawezekana mfano Mimi ni 30 kwa sasa na angalia nimejiunga JF mwaka gani utapata jibu Mimi nipo JAMII forum nikiwa na umri gani
 
Mzee wa kuperuzi na kudadisi 😁
 
V.A.R imeng'amua lafu iliyochezwa hapa.aisee!
 
We kaongo kaongo sana
 
Hizo kamba sasa mzee, wametangulia hao kina voda ,Tigo na airtel kwenye modem za Gsm pamoja na zantel CDMA.
Baadae wakaja Halotel,smart na hao Sasatel
Sawa Mimi nakumbuka hizo za Sasatel na zantel hizo zingine nadhani zilikuwa kabla yangu
 
Uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…