33m natafuta Mature Woman (45–50) — Casual Affair au Serious Relationship?

Kwanza elewe vyuma havizeeki kwa kutumika sana.Pili Mwanamke akishavuka 45 huwa ana mahitaji tofauti kihisia.Ila sasa hakikihsa asiwe na mume na asiwe maskini.Maana kudate na mwanamke mwenye umri mkubwa ambaye hawezi lipia bills zake huwa inakuwa kama kulea mama yako mzazi.
 
Kama ni mdada wa umri huo na anajipenda, anajitunza, anaupenda mwili wake, anapenda kuvaa kupendeza nakubaliana na wewe, they're attractive. Mimi 35-45, japo sitafuti, I'm just saying...🤣
🤣🤣🤣🤣we mzee
 
Sio rahisi kupata bikra kwenye huo umri. Wengi wao ni scrapers na wana makovu mengi ya mahusiano. Tegemea kuvuna negative energy nothing else.
 
Sio rahisi kupata bikra kwenye huo umri. Wengi wao ni scrapers na wana makovu mengi ya mahusiano. Tegemea kuvuna negative energy nothing else.
Km we unapeleka positive energy kwann Ubuntu negative energy????
Unless na we upeleke negative energy kwa kumuumiza pia
 
Km we unapeleka positive energy kwann Ubuntu negative energy????
Unless na we upeleke negative energy kwa kumuumiza pia
Binafsi siwezi date na gumegume mkuu. Mabinti wabichi wamejaa tele mtaani, kwenye vyuo na maofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…